The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Wala usijidanganywe hilo tundu sasa hivi ndo habari ya mjini usiwasingizie wazunguNa wanatumia mashimo yote ulionayo mwilini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala usijidanganywe hilo tundu sasa hivi ndo habari ya mjini usiwasingizie wazunguNa wanatumia mashimo yote ulionayo mwilini
Ah!¡¡Kuna 69 position
Oooooopx... kume kucha na huko... kuna mautundu zaidi?
tehe tehe teheMwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
Nachelewa wapi?Sanaa unachelewa bure
wewe una penda hiyo
we upendi hiyoooo?Manara anakuita Manara Mungu anakuooona. .. sisi sio Ma-Andaki
mojaNini hio
Dada hafaidi chochote zaidi ya kupumuliwa mahewa ya kizee.Hahahaha
Kwahiyo anaefaidi ni mzungu tu sio dadako?!
vipi umeipendaaa?Sawa
Basi yule Muuza bucha akaona hii shughuli tena. Akiwa bado anatamani ile fedha, kwa bashasha na mbwembwe zilizojazwa na ukarimu wa kinafki akamwambia yule mwanamama, Oooo...pole sana mama, Kuku waliobaki ni hao wawili tu na mmoja tayali aliisha lipiwa na mteja wangu mwingine atampitia muda si mrefu.Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
Uuuwi dadako ana bikra ujue ndio maana mzungu hamuachi
Hahahahah unamsingizia dadaetu bikra
Mje na huku Ushauri: Kwenu Wanaume Mnaofuga Madevu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
Muuza Nyama:Huyu mwengine ana order tayarMwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
HahahahaMwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
Mbona sura yake kama transexual? Au ni hayo ma-makeup tu hakuyapatia?Ng'ombe hazeeki maini jamaa
huku uswaz kwetuWAP mkuu