Johari: Ray ndio kila kitu kwangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari' amesema msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray' ndiye kila kitu maishani mwake kutokana na msaada aliompa wa kumtoa kisanii na kumsapoti kwa mambo mengi kikazi.

‘Akianika mwanya' , Johari alisema haoni sababu ya kuficha ukweli kuwa bila Ray isingekuwa rahisi yeye kufika alipo kisanii hivyo lazima akumbuke kurudisha shukrani.

"Lazima niwe mkweli kuwa, Ray ni kila kitu kwangu, nipo hapa nilipo leo kwa sababu ya jitihada zake. Alikuwa mwalimu wangu wa sanaa tangu Kaole (kundi la sanaa), siyo mimi tu hata marehemu Kanumba (Steven) na wengine, hivyo siwezi kuacha kumrudishia shukrani zangu," aliweka nukta Johari.

Chanzo: GPL
 
Sasa johari na wewe unataka urudishe fadhila gani? Naniliu si umeshampa? Mpe na tigo basi maana tumekuchoka na msukule wako huo usiojielewa mxiuuu
 
Sasa johari na wewe unataka urudishe fadhila gani? Naniliu si umeshampa? Mpe na tigo basi maana tumekuchoka na msukule wako huo usiojielewa mxiuuu

Anataka aolewe nae eti. ila huyu nae hajui kukataliwa....
 
Anataka aolewe nae eti. ila huyu nae hajui kukataliwa....

Mwenzangu nae kang'ang'ania wakat mtu hatakiwi, ila mi nashangaa mbona wanafanya kazi pamoja kama mtu na partner wake? Hawafanyani kwel hawa? Mmh
 
si mbaya kumshukuru aliyekuinuwa ulikuwa chini

tushukuru kwa kila jambo
 
Huyo nae ndio nini kuseam Ray ndio kila kitu chake? Hata hivyo hilo ni dongo la mke mwenzie Chuchu, kazi wanayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…