Johari: Ray ndio kila kitu kwangu

Johari: Ray ndio kila kitu kwangu

aaaaaaaah !!!!! kumbe WARUMI ni demu nilikuwa sijui. UNAMAANISHA WARUMI ANAPUMULIWA SHINGONI AU MGONGONI NA MAJIBABA?
 
ray anatakiwa amuoe huyu demu..... kamvumilia sana na uhuni wake wote na kashampotezea mda sana cjui kama kuna mwanaume atajitokeza kutaka kumuoa tena so ray anatakiwa atake responsibility for his action huwez wachezea watoto wa watu na kuwapotezea muda kiasi hiki alafu awatelekeze tu!!!! kama ana demu yoyote mwingine amuache amuoe uyu dada!!!
 
Back
Top Bottom