Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Kwani ray na joha wameoana?au wanaishi tu!?

kwani bado wanaishi? mapenzi yapo chura kwa sasa RJ imebaki kazi tuu, kwa mtazamo joha bado anahisi kunauwezekano wa kumbring back her Ray, kitu ambacuo sidhani kama ni sahihi as long as hawakuwa na ndoa atafute tu mwingine nafasi bado ipo kuliko kukwaruzana na chuchu kila siku.
 
tunawakaribisha ktk chama cha WOKOVU cha YESU KRISTO.chama chenye amani.furaha na utulivu bila kusahau maisha ya umilele.
 
Nilidhani mimii kumbe nawe hivyo hivyoo eti uandike barua pepe na email au kafungiwaaa

mamawe kwa sintah sasa ivi ni kwa special permit, hataki tena mamlupo, second born more matured, watu walizidi mno kumtukana jamani sasa kawapatia muarobaini. mwenyewe nilitaka kuingia nipate umbea wa zari mbutaaa, nikaambiwa mama tuliza mshono.
 
Chuchi ndp mkorofi, ye anafuata nn kwenye kampuni ya RJ? Halafu anajifanya na yeye ana share na kampuni, anajifanya ana mamlaka na crew ya rj na kuwatuma anavyotaka, ila johar alimkomesha alimchamba akamwambia amkome kwenye ofisi yake, nilifuaraijee?? Chuchu akawa anajishaua et na yeye ana kampuni yake, iko wap? Labda chooni, maana Tanzania nzima tunajua kuwa RJ(Ray na johari) ndo kampuni matata apa mujini na ndio inayofanya vizur apa town, tena dada johar siku nyingine akija kwenye kampuni yetu tunamwagia tindikal, si umwambie bwana ako ray akufungulie ya kwako mfyuu
 
Toka juzi najaribu kuingia sintah blog nashindwa nikadhani hii techno yangu kimeo kumbe kuna problem! ! Kiruuuu mbuta nanga, mie bila umbea wa sinta silali vizuri mweee

Mimi jana niliingia asubuhi nikaona kaweka picha zake na Zari comments zilikua bado...mchana nilivyojaribu nilitesekaje?nilikua nafuata umbea wa huko watu wanasemaje kuhusu hizo picha....looh nilihangaika nusu saa nakuambia wapi....
 
hahaaaa binamu chuchu ulimuimbisha kachomoa nini
sikuelewi ujueeee
chuchu kula mhogo wa jang'ombe bibi
bwana kapata kichuna anampa nyama ya ulimi
 
Mimi jana niliingia asubuhi nikaona kaweka picha zake na Zari comments zilikua bado...mchana nilivyojaribu nilitesekaje?nilikua nafuata umbea wa huko watu wanasemaje kuhusu hizo picha....looh nilihangaika nusu saa nakuambia wapi....

sintah turudishie uhondo huko au leo unanyonyesha
 
Last edited by a moderator:
sintah turudishie uhondo huko au leo unanyonyesha

Hahahaaaaa eti kuna watu wanamuambiaga leo sintah weka mtoto pembeni achia comments.
Akimuweka Le Mutuz anaambiwa au ndiye baba mtoto wake....uwiiiii kwa sintah ni shiiidah jamani airudishe tu kabla hatujamuanzishia na yeye
 
Last edited by a moderator:

jamani si anaendaga tu kumpitia lebebez wake waende lunch?? siunajua tena kutoka na ze boss unajiona na wewe boss unaweza ingia bila hata kupita kwa secretary, cha msingi ray nae amwambie huyo chuchu mapenzi yao yaishie nje ya geti la ofice kumruhusu aingie ndani ni kumnyanyasa bi mkubwa kwa kweli.
 
Maadam boss johar kashampiga marufuk asiingie ofisin kwake, bas kashaelewa, next time atuongei, atarud tanga uku anaruka kichura chura, mfyuuuu
 
tunawakaribisha ktk chama cha WOKOVU cha YESU KRISTO.chama chenye amani.furaha na utulivu bila kusahau maisha ya umilele.

ndio umetuletea mualiko au?? manake naona kama upo wrong jukwaa.
 
mamawe kwa sintah sasa ivi ni kwa special permit, hataki tena mamlupo, second born more matured, watu walizidi mno kumtukana jamani sasa kawapatia muarobaini. mwenyewe nilitaka kuingia nipate umbea wa zari mbutaaa, nikaambiwa mama tuliza mshono.

Sasa hataki wachangiaji wengii,sie tunapitaga kusoma,ebu nielekeze mie nikasome komment nicheke mpaka nichanganyikiweee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…