Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Mbona siwezi kusoma comments jamani?alafu eti anataka tujiunge kwanza mjinga sana yule...aliyejiunga atufahamishe na wenzie...

mi leo nimeweza kutuma comments kwa sintah two times ila udaku haujaanza bado
 
naona wewe Ume-Chagula tu, Johari ilikuwa zamani siku hizi mvi, sura zimechakaa, ukitaka kumwoa unatakiwa uwe tajiri sana maana ma make up kwa sana ili utoke naye.

hili nalo neno mwenzie chuchu ana kids mbili bado mkyutii huyo bibi bomba johar ht mmoja hana kashazeeka
johari joto lakoo baridi hupati ng'ooo
 
hili nalo neno mwenzie chuchu ana kids mbili bado mkyutii huyo bibi bomba johar ht mmoja hana kashazeeka
johari joto lakoo baridi hupati ng'ooo

Ahahaaha, mke wa mtu yule, ndoa yao haitakuwa na baraka, lazima laana ya mumewe imfuatilie
 
ahahaaha, mke wa mtu yule, ndoa yao haitakuwa na baraka, lazima laana ya mumewe imfuatilie

aaah wapii
cuzoo pale hamna lana wala gundu mtao ndoa ya mzungu ilimshinda sembuse chuchu hans
 
Best umekosea njia shaur zako

hii ni njia sahihi halafu hakuna jipya chini ya dunia."Njooni wote wenye kuelemewa na mizigo,naye Yesu atawapumzisha na kuwapa raha nafsi mwenu".Math 11:28-29.Nipo sahihi kwa 100%
 
hii ni njia sahihi halafu hakuna jipya chini ya dunia."Njooni wote wenye kuelemewa na mizigo,naye Yesu atawapumzisha na kuwapa raha nafsi mwenu".Math 11:28-29.Nipo sahihi kwa 100%

hahaahahahaa disko limeingia mmassi huku jamani@warumi@Dinazarde@nifah@paula kilaki
 
Back
Top Bottom