NIjulie wap binamu? Mo umbea tu email hata sijui kufingua mie, nijue nilinge? Nafunguliwaga, password yenyew nimesahau, mie niambie umbeya nitakuelewa
Si umeona alivyojibu?
Jamani for what I know blog ya shosti wa zari huwa inafanya ivo mara nyingi sana labda kama nyie mmeijua mwezi huu,huwa akipost vitu vipya na akiwa anaweka matangazo mapya na kuchange layout lazima aisizi kwa muda sio mara ya kwanza atii...ila ananiboa layout ya saa izi mie mwenye techno nakomaje!
Nitumien na mm email yake nimpe vichambo, japokuwa sijui kutumia email ntajua hvyo hvyo
Nilikuwa nakuambia tuh, johari sio wa kumfananisha na chuchu wala muigizaji yeyote apa bongo, demu katulia na anapiga kazi pia ana maisha mazur kuliko hao wanaohangaika kujiuza kwa wanaume ndo waishi
Kwani kuwa na maisha mazuri ndio kuwa na papuchi nzuri? Hilo lizee joha likwende huko. Mpaka leo zee zima linagombea boy friend?Awaachie wenzake sasa yeye keshatumika vya kutosha na papuchi ishazeeka awapelekee wazee wenzie si wapo kina bambo?

inabidi ifanyike kampeni ya kumlazimisha ray kumuoa johari, haiwezekan ampotezee muda kiasi hiki alafu asimuoe nna uhakika johari ame sacrifice vingi sana kwa ajili ya huyu mshkaj na jamaa anajifanya kama haoni vile!!!
Mbona nasikiaga ray ni msambaa jamani?
Kwa sintah kupo wazi wale walotaka kukata roho utazani Sintah blog wameanza kuvisit jana!
katika vitu ambavyo huwa SIFANYAGI nikuanza kugombana na mtu kisa kanchukulua bwana . kama hafahamu huyo ni bwanangu namfahamisha kwa maneno nafupi na malaini mfano " RAY NI BOYFRIEND WANGU WA SIKU NYINGI DADA KAMA HAJAKUAMBIA NAKUTAARIFU TU." basiii ntaendelea kugombana na huyo alotafuta mwanamke haliyakuwa anajua yuko na mimi
Kwa sintah kupo wazi wale walotaka kukata roho utazani Sintah blog wameanza kuvisit jana!
Kichwa habari kimenishtua...nikasema chuchu zake zimepatwa na nini tena, au Ray amezing'ata bada ya kunyonya ?
inabidi ifanyike kampeni ya kumlazimisha ray kumuoa johari, haiwezekan ampotezee muda kiasi hiki alafu asimuoe nna uhakika johari ame sacrifice vingi sana kwa ajili ya huyu mshkaj na jamaa anajifanya kama haoni vile!!!
Huyo chuchu ana sura kama kasuku hana uzuri wowote, weupe unamsitir bora ata johar kidog sema nae siku izi hana swaga kazubaa sana ila johar ni kisu , ana sura nzur sema ndo vile