Mbona siwezi kusoma comments jamani?alafu eti anataka tujiunge kwanza mjinga sana yule...aliyejiunga atufahamishe na wenzie...
naona wewe Ume-Chagula tu, Johari ilikuwa zamani siku hizi mvi, sura zimechakaa, ukitaka kumwoa unatakiwa uwe tajiri sana maana ma make up kwa sana ili utoke naye.
mi leo nimeweza kutuma comments kwa sintah two times ila udaku haujaanza bado
Ahahaaha, mke wa mtu yule, ndoa yao haitakuwa na baraka, lazima laana ya mumewe imfuatilie
ahahaaha, mke wa mtu yule, ndoa yao haitakuwa na baraka, lazima laana ya mumewe imfuatilie
Best umekosea njia shaur zako
ndio umetuletea mualiko au?? manake naona kama upo wrong jukwaa.
hii ni njia sahihi halafu hakuna jipya chini ya dunia."Njooni wote wenye kuelemewa na mizigo,naye Yesu atawapumzisha na kuwapa raha nafsi mwenu".Math 11:28-29.Nipo sahihi kwa 100%