Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Inasemekana alihamia Uingereza na Malkia Catherine wa Aragon kutokea Hispania. Alikua mtumbuizaji kwenye mazishi ya Mfalme Henry VII na aliburudisha siku Mfalme Henry wa VIII anawekwa wakfu.
Alifunga ndoa na ni mmoja ya waliompa zawadi. Mflme Henry VIII alimpa zawadi. Baada ya hapo alipotea na habari zake nyingi hazikuandikwa.