Naunga mkono hojaNa walimpa thank you ya mapema kabisa. Na kutuaminisha eti amesomea ukocha, na hivyo wamemkabidhi timu ya vijana!! Ila mwisho wa siku ameona bora afuate njia ile ile aliyoitumia Mkude, Nyoni, nk.
Ngoja kikimchanganyia dirisha dogo huyooo nyuma mwiko
Hapo yenyewe anasajaliwa jkt akitokea kuwa kocha wa simba U17Huyu nae se akasomee ukocha huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiperform vizuri huko Yanga watamchukua dirisha dogo