John Bocco agoma kustaafu, asajiliwa JKT Tanzania

John Bocco agoma kustaafu, asajiliwa JKT Tanzania

Huyu kwa alipofikia alipasa asomee Coaching na IKIBIDI aanze harakati zake za kufundisha vilabu akianza hata na team B hasa AZAM kiasha atafute club mojawapo hapa bongo aanzishe safari yake.

Mwache atafute pesa ya kula si haba.
 
Tukisema kina Mangungu na Salim ni viongozi wa hovyo mnashindwa kutuelewa ni kwa sababu ya vitu kama hivi
 
Bocco kwa umri wake bado kabisa kustaafu angalau akichafue kwa miaka mingine 5 Kisha astaafu
Bocco akiwa tegeta high school ndio alisajiliwa azam na akaanza kuwaka so amecheza mpira akiwa mdogo sana ndio maana wengi wanaona amezeeka ila ni kijana kabisa.
Msimu uliopita magenge ya wahuni pale Simba yalitumika sana ku torture akili za wachezaji kwa maneno (dizaini walikuwa kama juma lokole) ila Bocco bado anao uwezo wa kucheza
 
Back
Top Bottom