Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka mitandaoni.
Toa Maoni yako
Toa Maoni yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akistaafu mtamnunuliza sukari au kumlishia familia yake..
Kuna wakati alikuwa anafunga mpaka watu wakawa wanamtania "Boko Haram".Huyu jamaa mimi sijawahi kuona kama ni mchezaji
Unaambiwa makipa wajiandaeHuyu jamaa mimi sijawahi kuona kama ni mchezaji
Huyo hana issue, bora uweke jiwe, pengine mpira unaweza kugusa jiwe likafanya deflection goli likaingiaUnaambiwa makipa wajiandae
Ngoja ligi ianze tuone kama hizi lugha za kejeli kwa Yanga kama zitaendelea au lahAkiperform vizuri huko Yanga watamchukua dirisha dogo
Atachukuliwa na Alhilal🤣Akiperform vizuri huko Yanga watamchukua dirisha dogo
dah wabongo mnakejeli sana🤣🤣🤣🤣Huyu jamaa mimi sijawahi kuona kama ni mchezaji
Hata sijui ila najua ni babu wa simba 😂Ana miaka mingapi kwan maana kama 3yrs back alikuwa na 27yrs
Bado kijana huyo mwakani ndio kwanza ana timiza 30yrs 😃Hata sijui ila najua ni babu wa simba 😂
Akachukue nafasi ya nani labdaAkiperform vizuri huko Yanga watamchukua dirisha dogo
Huyu nae se akasomee ukocha huko