John Bocco alienda Kufanya nini Cosafa

John Bocco alienda Kufanya nini Cosafa

Watanzania wengi ni sifuri kabisa. Timu yetu inazidi kukua na kufanya vyema. Mtu unakuja kuwabeza namna hii. Kwa mtu anayejua mpira atawapongeza ila kwa wajinga wataibeza timu.
acha ww vzuri 4
 
Alienda kuongeza nguvu ya kuwahi kutoka kwenye mashindano!
 
all good ,tunashinda pamoja na tunashindwa pamoja vijana wamecheza mpira mzuri na wameitangaza nchi yetu vizuri,na tuwashukuru watanzania ambao waliacha mihangaiko yao wakaenda pale jimbo la NORTH WEST.kuwashangila na kuwapa moyo wachezaji wetu,they done very well ni msingi mzuri.
 
Akili za mashabiki wetu ni kielelezo cha jinsi itakavyokuwa ngumu kupiga hatua si ktk soka tu bali kwa vitu vingi. Ni huku huku kwa mashabiki ndiko wanakotokea viongozi na wao wanakuwa na akili hii hii. Ndio maanamchezaji akivurunda mara moja unaambiwa toa, kala rushwa, amehujumu na sababu nyingine za kipuuzi kabisa. Ukishindwa kuipongeza timu hii ya COSAFA utakuwa una tatizo binafsi.

Seriously unaalikwa COSAFA na unadhani unaweza kushinda kirahisi na kuwa bingwa mbele ya Zambia ambao ni mabingwa wa zamani wa Afrika au Zimbabwe ambao juzi wametoka kwenye fainali za Afrika? Wakati mwingine tunawapa pressure kubwa wachezaji isiyo na sababu yoyote
 
Ata Brazili alikojolewa bao 7,Stars wako vizuri si wa kubeza
 
E and E yaani ujerumani watachukua tena kombe la dunia 2018 hawana maneno vitendo tu
 
Watanzania mliowengi ni wapumbavu kabisa..ubovu wa timu ya Tanzania Ni nini kwa mfano!?timu imealikwa imetoa wenyeji tena nyumbani kwao,na kabla ya hapo walisha cheza mechi zaidi ya tatu na kuongoza kundi bado unawaveza,na kwa taarifa yako mechi zote ilizocheza taifa stars kasoro ya jana man of the match alitoka kwetu bado wewe unatokea uko buseresere unaibeza timu ya taifa acha upumbavu kabisa..siku nyingine ukiona wanakukela naenda wewe na babako mkacheze shwain kabisa..wewe ukitaka boko acheze wakati timu ilikua inashambuliwa muda wote,!?mbwa kabisa wewe!!
Wewe ndo jibwa kubwa kuliko hata hao unaowambia mbwa,watu wanahoji alifuata nn wakati hakutumiaka? Kulikuwa na haja gani ya kumsafirisha kama kulikuwa na mtu anaweza kucheza nafasi yake?
Matumizi mabaya ya pesa hayo
 
Back
Top Bottom