Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Mchezaji John R. Bocco wa timu ya Simba katika mechi na Mwadui iliyochezwa hivi majuzi huko Shinyanga alipata kadi nyekundu hivo kwa taratibu za kimataifa inapaswa akae benchi mechi inayofuatia. Kwa utaratibu uliozoeleka wa vilabu hivi vya Simba na Yanga kuukimbia mji wa Dar kabla ya kukutana na TFF kuubariki kwa kuwaweka wiki nzima ya 'eti' kujiandaa basi hata hili la Bocco TFF wanaweza kumruhusu kucheza mechi hiyo na kutumikia adhabu hiyo mechi inayofuata.
Tukae tusubiri.
Tukae tusubiri.