John Bocco anaweza cheza mechi ya Simba na Yanga tarehe 30/09/18 TFF wakitaka.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Mchezaji John R. Bocco wa timu ya Simba katika mechi na Mwadui iliyochezwa hivi majuzi huko Shinyanga alipata kadi nyekundu hivo kwa taratibu za kimataifa inapaswa akae benchi mechi inayofuatia. Kwa utaratibu uliozoeleka wa vilabu hivi vya Simba na Yanga kuukimbia mji wa Dar kabla ya kukutana na TFF kuubariki kwa kuwaweka wiki nzima ya 'eti' kujiandaa basi hata hili la Bocco TFF wanaweza kumruhusu kucheza mechi hiyo na kutumikia adhabu hiyo mechi inayofuata.
Tukae tusubiri.
 
Simba hawana presha. Yupo okwi, mk14. Wote watacheza hawa
 
Kibongobongo yes, hakuna tatizo.
Mchezaji John R. Bocco wa timu ya Simba katika mechi na Mwadui iliyochezwa hivi majuzi huko Shinyanga alipata kadi nyekundu hivo kwa taratibu za kimataifa inapaswa akae benchi mechi inayofuatia. Kwa utaratibu uliozoeleka wa vilabu hivi vya Simba na Yanga kuukimbia mji wa Dar kabla ya kukutana na TFF kuubariki kwa kuwaweka wiki nzima ya 'eti' kujiandaa basi hata hili la Bocco TFF wanaweza kumruhusu kucheza mechi hiyo na kutumikia adhabu hiyo mechi inayofuata.
Tukae tusubiri.
 
Nyie muombe muingie muwe 12 hakuna shinda
 
Atazidi kuongeza magoli sababu tangu ligi ya Tanzania ianzishwe hakuna panya yoyote anayemsogelea kwa idadi kubwa ya magoli aliyofunga
Unamjua anaeongoza kwa magoli mpaka sasa kweli wewe...??? Anyway Muda utazungumza. Hayo Maneno hayatacheza
 
Kumbe huenda naongea na mtu asiyejua soka...John Raphael Bocco ndo top score wa mda wote ligi kuu tanzania bara tangu ianzishwe..alikuwa na magoli 98 juzi katupia mawili kafikisha jumla 100.Hakuna panya yoyote wa kijani wa kumlinganisha na bocco
 
Kacheza Azam miaka kumi kule hakuna pressure wala kukamiwa na timu za mikoani...
Ok simba kacheza msimu mmoja uliopita pamoja na pressure na kukamiwa na timu za mikoani unajua alitupia ngapi??sasa hizo alizotupia zidisha mara jumla ya misimu aliyochezea azam upate jibu angechezea simba misimu yote hiyo angekuwa katupia ngapi...bado angebaki top score tu....alafu hapa tunazungumzia mchezaji bora season iliyopita...pamoja na pressure na kukamiwa na timu za mikoani huyo ndo best player last season
 
Binafsi nafaham kuwa John Boko anastaili kukosa Michezo miwili (2) kwa straight red card aliyopata. Kadi nyekundu ya moja kwa moja na nikienda mbali zaidi sidhani Kama tifutifu wataishia hapo alipoishia refa Kwani hata Kama referee report haitaonyesha kuwa Boko alipewa kadi nyekundu kwa kumpiga ngumi (kumshambulia) mchezaji wa team pinzan basi zile kamera zinazotumikaga kwa JUMA S NYOSO BASI ZITAFUTWE MAANA MMMMHHH
 
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.

JOHN BOCCO KAWEKA RECORD YA KUFIKISHA MAGOLI 100 KTK TPL KWA KUITUMIKIA MISIMU 11 MPK SASA!

KI MATHS HII INAMAANISHA BOCCO ANA WASTANI WA MAGOLI 9 TU KWA MSIMU!

NAKUKUMBUSHA TU, RECORD YA MAGOLI MENGI KWA MSIMU ANAISHIKILIA MOHAMMED HUSSEIN "MMACHINGA" KWA GOLI 26 KWA MSIMU!

ABDALLAH JUMA WA MTIBWA ALIWAHI KUFUNGA MAGOLI 24 KTK MSIMU MMOJA!

HONGERA BOCCO!
 
Mangapi kafunga akiwa Azam?
Kuna panya mwekundu mwenye idadi hiyo?
Hutasikia Juventus wakijivunia magoli ya CR7 akiwa Real Madrid. Only in Tanzania.
Ok,wajinga kama wewe huwa ninawapa elimu kuondoa ujinga wao kichwani...kwanza kabisa siku nyingine usikurupuke kuchangia kitu ambacho hujui kimetokea wapi yaani from no where unacomment maada ambayo hujui hata inazungumzia nini...jamaa aliuliza uwezo wa john bocco nikawa namwelewesha john bocco ni nani...nimemuongelea john bocco kama top scores wa mda wote ligi kuu Tanzania bara...tunachozungumzia hapa ni uwezo wa binafsi wa mchezaji...but huyo mchezaji kwa sasa ni mali ya simba na ndo mchezaji bora ligi kuu msimu uliopita akiwa simba or nikuulize wewe kuna nzi wa kijani ndo mchezaji bora msimu wa ligi uliopita???kwa maelezo haya kama ujinga haujatoka bado kichwa niambie niendelee kutoa dozi
 
Kama FAT/TFF wangekua wanaweka rekodi nakuhakikishia John Bokoa asingekuwepo ata katika wachezaji 50waliowahi kufunga magolimengi katika ligigi kuu. Wakina kibaden, Omar Husen,katika Juma Mgunda, Jimmy Mored , Mohamed Hussen n.k ao jamaa katika msimu walikua Hazipungui goli kumi mguuni.ba walicheza kwa muda mrefu katika ligi. Nakumbuka kuna mechi ya Yanga na RTC Kagera pale Taifa Lunyamila alifunga goli 6 katika mechi moja.
 
Back
Top Bottom