Simba hawana presha. Yupo okwi, mk14. Wote watacheza hawaMchezaji John R. Bocco wa timu ya Simba katika mechi na Mwadui iliyochezwa hivi majuzi huko Shinyanga alipata kadi nyekundu hivo kwa taratibu za kimataifa inapaswa akae benchi mechi inayofuatia. Kwa utaratibu uliozoeleka wa vilabu hivi vya Simba na Yanga kuukimbia mji wa Dar kabla ya kukutana na TFF kuubariki kwa kuwaweka wiki nzima ya 'eti' kujiandaa basi hata hili la Bocco TFF wanaweza kumruhusu kucheza mechi hiyo na kutumikia adhabu hiyo mechi inayofuata.
Tukae tusubiri.
Mchezaji John R. Bocco wa timu ya Simba katika mechi na Mwadui iliyochezwa hivi majuzi huko Shinyanga alipata kadi nyekundu hivo kwa taratibu za kimataifa inapaswa akae benchi mechi inayofuatia. Kwa utaratibu uliozoeleka wa vilabu hivi vya Simba na Yanga kuukimbia mji wa Dar kabla ya kukutana na TFF kuubariki kwa kuwaweka wiki nzima ya 'eti' kujiandaa basi hata hili la Bocco TFF wanaweza kumruhusu kucheza mechi hiyo na kutumikia adhabu hiyo mechi inayofuata.
Tukae tusubiri.
Atazidi kuongeza magoli sababu tangu ligi ya Tanzania ianzishwe hakuna panya yoyote anayemsogelea kwa idadi kubwa ya magoli aliyofungaKwani hata akicheza kuna nn kipya atafanya.....????
Asante Mkuu kwa kumpatia darasani la bure.Atazidi kuongeza magoli sababu tangu ligi ya Tanzania ianzishwe hakuna panya yoyote anayemsogelea kwa idadi kubwa ya magoli aliyofunga
Unamjua anaeongoza kwa magoli mpaka sasa kweli wewe...??? Anyway Muda utazungumza. Hayo Maneno hayatachezaAtazidi kuongeza magoli sababu tangu ligi ya Tanzania ianzishwe hakuna panya yoyote anayemsogelea kwa idadi kubwa ya magoli aliyofunga
Kumbe huenda naongea na mtu asiyejua soka...John Raphael Bocco ndo top score wa mda wote ligi kuu tanzania bara tangu ianzishwe..alikuwa na magoli 98 juzi katupia mawili kafikisha jumla 100.Hakuna panya yoyote wa kijani wa kumlinganisha na boccoUnamjua anaeongoza kwa magoli mpaka sasa kweli wewe...??? Anyway Muda utazungumza. Hayo Maneno hayatacheza
Kacheza Azam miaka kumi kule hakuna pressure wala kukamiwa na timu za mikoani...Atazidi kuongeza magoli sababu tangu ligi ya Tanzania ianzishwe hakuna panya yoyote anayemsogelea kwa idadi kubwa ya magoli aliyofunga
Ok simba kacheza msimu mmoja uliopita pamoja na pressure na kukamiwa na timu za mikoani unajua alitupia ngapi??sasa hizo alizotupia zidisha mara jumla ya misimu aliyochezea azam upate jibu angechezea simba misimu yote hiyo angekuwa katupia ngapi...bado angebaki top score tu....alafu hapa tunazungumzia mchezaji bora season iliyopita...pamoja na pressure na kukamiwa na timu za mikoani huyo ndo best player last seasonKacheza Azam miaka kumi kule hakuna pressure wala kukamiwa na timu za mikoani...
Mangapi kafunga akiwa Azam?Atazidi kuongeza magoli sababu tangu ligi ya Tanzania ianzishwe hakuna panya yoyote anayemsogelea kwa idadi kubwa ya magoli aliyofunga
Akiruhusiwa kucheza Yanga nao wamkodi Juma Nyoso kwa mudaNi ngumu sana kurugusiwa kucheza kwa lile tukio
[emoji13] [emoji13] [emoji13] panya......Atazidi kuongeza magoli sababu tangu ligi ya Tanzania ianzishwe hakuna panya yoyote anayemsogelea kwa idadi kubwa ya magoli aliyofunga
Ok,wajinga kama wewe huwa ninawapa elimu kuondoa ujinga wao kichwani...kwanza kabisa siku nyingine usikurupuke kuchangia kitu ambacho hujui kimetokea wapi yaani from no where unacomment maada ambayo hujui hata inazungumzia nini...jamaa aliuliza uwezo wa john bocco nikawa namwelewesha john bocco ni nani...nimemuongelea john bocco kama top scores wa mda wote ligi kuu Tanzania bara...tunachozungumzia hapa ni uwezo wa binafsi wa mchezaji...but huyo mchezaji kwa sasa ni mali ya simba na ndo mchezaji bora ligi kuu msimu uliopita akiwa simba or nikuulize wewe kuna nzi wa kijani ndo mchezaji bora msimu wa ligi uliopita???kwa maelezo haya kama ujinga haujatoka bado kichwa niambie niendelee kutoa doziMangapi kafunga akiwa Azam?
Kuna panya mwekundu mwenye idadi hiyo?
Hutasikia Juventus wakijivunia magoli ya CR7 akiwa Real Madrid. Only in Tanzania.
Kama FAT/TFF wangekua wanaweka rekodi nakuhakikishia John Bokoa asingekuwepo ata katika wachezaji 50waliowahi kufunga magolimengi katika ligigi kuu. Wakina kibaden, Omar Husen,katika Juma Mgunda, Jimmy Mored , Mohamed Hussen n.k ao jamaa katika msimu walikua Hazipungui goli kumi mguuni.ba walicheza kwa muda mrefu katika ligi. Nakumbuka kuna mechi ya Yanga na RTC Kagera pale Taifa Lunyamila alifunga goli 6 katika mechi moja.Ok,wajinga kama wewe huwa ninawapa elimu kuondoa ujinga wao kichwani...kwanza kabisa siku nyingine usikurupuke kuchangia kitu ambacho hujui kimetokea wapi yaani from no where unacomment maada ambayo hujui hata inazungumzia nini...jamaa aliuliza uwezo wa john bocco nikawa namwelewesha john bocco ni nani...nimemuongelea john bocco kama top scores wa mda wote ligi kuu Tanzania bara...tunachozungumzia hapa ni uwezo wa binafsi wa mchezaji...but huyo mchezaji kwa sasa ni mali ya simba na ndo mchezaji bora ligi kuu msimu uliopita akiwa simba or nikuulize wewe kuna nzi wa kijani ndo mchezaji bora msimu wa ligi uliopita???kwa maelezo haya kama ujinga haujatoka bado kichwa niambie niendelee kutoa dozi