John Bocco ni galasha, Simba SC mmeingizwa mkenge

Nilivyoiona timu kama vile haina mwalimu.wachezaji wote nimeona wamejituma na kuonesha wanastahili kucheza mechi ile.tatizo mwalimu hajui yupi acheze wapi? Nani aanze kucheza na wacheze kwa mfumo UPI?
 
Kwa uchezaji wa Bocco nadhani kuna watu wametafuna asilimia. Simba hapa wamesajili mzigo mwingine.
 
Katika game ya jana, Msuva ameshinda goli ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…