John Bocco ni galasha, Simba SC mmeingizwa mkenge

John Bocco ni galasha, Simba SC mmeingizwa mkenge

Nilivyoiona timu kama vile haina mwalimu.wachezaji wote nimeona wamejituma na kuonesha wanastahili kucheza mechi ile.tatizo mwalimu hajui yupi acheze wapi? Nani aanze kucheza na wacheze kwa mfumo UPI?
 
Kwa uchezaji wa Bocco nadhani kuna watu wametafuna asilimia. Simba hapa wamesajili mzigo mwingine.
 
Bocco ameshachoka, huo ndio ukweli, hastahili kuwa mshambuliaji wa kupangwa timu ya taifa , acheni ushabiki usio na tija... Bora hata Maguli alionyesha kauwezo cosafa ila sio Bocco, amechoka long time ago, ni mshambuliaji wa kucheza ligi tu sio national team.
Katika game ya jana, Msuva ameshinda goli ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom