Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta Uzi ni zao la makinikiaBoko ni kiungo machachari?
sio kiungo tu! ni kiungo machachariJohn Bocco ni kiungo?
DuAcha jeuri wewe,sisi ni kaka zako humu
Ni mara kumi hata ingefanyika technical switch kwa Msuva au Ulimwengu acheze kati...Kwa mfano...
Baada ya kutokuwapo kwa Samatta na sasa Majeruhi mwingine kapatikana, unashauri nani angeitwa kuchukua nafasi ya ushambulizi ?
Wewe ni kochaNi mara kumi hata ingefanyika technical switch kwa Msuva au Ulimwengu acheze kati...
Bocco mpira hawezi labda kama wanataka tu kuongeza idadi ya wachezaji...