John Boko anaenda Kuandika Historia Mpya Leo!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Salamu,
Leo Novemb 5 2023 Mshambuliaji wa Taifa Captain wa Simba ,John R.Boko.anaenda Kuandika Historia Mpya katika maisha yake ya Soka!
Tukutane saa moja jioni!

Nakala: Gentamycin...Aione kwenye Faili.
 
Historia ipi??Bocco hata ku-control Mpira tu imeshakuwa tatizo,hawezi kuendana na kasi ya Mechi ya leo
 
John Boko hajawahi na hatawahi kuifunga Yanga akiwa Simba.
Ataishia kurukaruka tu.

Akipangwa kwanye hiyo mechi Basi ujue Wachezaji wa Simba watakuwa 9 uwanjani badala ya 10 na Golikipa.
 
boko acheze mechi ya yanga unaakili wewe au mnataka simba apigwe zaidi boko hana kasi kwenye mechi dhidi ya yanga atatapika bure mzee wa watu.
 
Salamu,
Leo Novemb 5 2023 Mshambuliaji wa Taifa Captain wa Simba ,John R.Boko.anaenda Kuandika Historia Mpya katika maisha yake ya Soka!
Tukutane saa moja jioni!

Nakala: Gentamycin...Aione kwenye Faili.
Mtapigwa kama ngoma leo. Halafu mkiamka kesho asubuhi, kelele zote zitakuwa ni kwa kocha wenu Robertinho na mwekezaji wenu.
 
Historia ipi??Bocco hata ku-control Mpira tu imeshakuwa tatizo,hawezi kuendana na kasi ya Mechi ya leo
mchezaji mkongwe kucheza derby ya kariakoo ktk history 43 yrs huoni hyo ni history?
 
Back
Top Bottom