John Boko asaini mikataba miwili kwa timu tofauti ni Simba SC na Polokwane FC

John Boko asaini mikataba miwili kwa timu tofauti ni Simba SC na Polokwane FC

Bongo tunatabia ya kuchukia Mambo poa POA Sana
Simba walipaswa kulimaliza hili na Polokwane kimya kimya
Magoli anasema wanajua Bocco alisani Polokwane tangu mwezi April
Walichokuwa wanafanya Ni kuongea na Polokwane wanunue hiyo pre contact ila jamaa wameweka ngumu
Bocco na anawaomba Polokwane wasimshtaki abaki Simba
Tatizo hatuwezi kupanga mpango wa mwaka mmoja tu mbele. Si kwa Simba tu hata Yanga. Mikataba yote miaka miwili. Kwa nini? Mengine iwe mwaka na mingine miaka mitatu. Ukibaki mwaka mmoja, kwa nini hawaongezi mkataba?

Baada ya miaka miwili karibu kila mchezaji anakuwa kamaliza muda wake, wanaanza kusajili upya kabisa.
 
kapanda EPL na Azam Fc 2007, akahamia SIMBA 2017... Kumbuka pia Azam aliipandisha EPL akitokea Abajalo Fc MNYAMA MKUBWA... in short Bocco ana 12+ EPL years!

Mchezaji anacheza ligi kwa miaka zaidi ya mi 5
Alafu anafanya mambo ya ajabu kama haya.
Wachezaji wengi bongo hawajielewi
[/QUOTE
 
Tatizo hatuwezi kupanga mpango wa mwaka mmoja tu mbele. Si kwa Simba tu hata Yanga. Mikataba yote miaka miwili. Kwa nini? Mengine iwe mwaka na mingine miaka mitatu. Ukibaki mwaka mmoja, kwa nini hawaongezi mkataba?
Baada ya miaka miwili karibu kila mchezaji anakuwa kamaliza muda wake, wanaanza kusajili upya kabisa.
Tatizo hatuwezi kupanga mpango wa mwaka mmoja tu mbele. Si kwa Simba tu hata Yanga. Mikataba yote miaka miwili. Kwa nini? Mengine iwe mwaka na mingine miaka mitatu. Ukibaki mwaka mmoja, kwa nini hawaongezi mkataba?

Baada ya miaka miwili karibu kila mchezaji anakuwa kamaliza muda wake, wanaanza kusajili upya kabisa.
Kaka soka la bongo halina jipya! Tuliwashangaa AZAM FC kuruhusu 4 senior players kumaliza contracts na Kuondoka at per (BOCCO, MANULA, NYONI & KAPOMBE) afu timu inataka kushindana na SIMBA na YANGA Ktk EPL!

Kali kuliko zote... Ujinga ule ule alofanya AZAM Fc mwaka juzi... Mwaka huu unafanywa na WAKONGWE... Yanga wanakaa na IBRA CADABRA mpk anamaliza contract! SIMBA nao ujinga ujinga tu.... Wanakaa na BOCCO mpk contract inaisha! Yaani hz timu zinazidiwa akili hata Maiti!

Viongozi wa vilabu hovyo! Wachezaji hovyo! Wanachama ndio mataahira Kabisa!

Shangaa na Hili! John BOCCO, na wenzake walotoka AZAM Fc wako chini ya Manager JEMEDARI SAIDI! Jemedari Said ni high profile sportsman in Tanzania!

Amecheza Kariakoo LINDI, amecheza Timu ya Jeshi ya SHY, amekuwa CEO Azam Fc, amekuwa kiongozi wa TFF kwa kipindi Fulani na ndio Yeye na wenzake wa TFF walilobby Ktk safari ya Egypt na kumleta Amunike Tanzania! Jemedari Ndiye aliemsainisha DOMAYO kutoka YANGA kwenda Azam wakati Chumvi anamaliza contract Yanga afu viongozi wanasinzia tu!

Leo unashangaa senior player kama Bocco aliye chini ya senior football official, anafanya Kosa kama hili!
 
Bocco ana uhuni gani?
Huyu ni moja ya wachezaji wastaarabu katika wachezaji wote Tanzania naweza kuthubutu kusema hivyo.

Fatilia mechi za Azam alipokuwako akiwa kama kiongozi uwanjani au za Simba anapokuwa anacheza kama timu inafanya mambo ya kijinga Bocco ni the best player mwenye nidhamu Bongo hana uhuni yule.
Wahuni ni kina Mkude hawa wako wengi wanakipiga sana uwanjani na uhuni ni nature yao
Kweli mpole mana hata akitiwa madole ananyamaza na kuchekelea tu
 
Mtoaaa post pitiaaa n hiii
IMG-20190611-WA0031.jpeg
 
Bocco ameingiwa na tamaa kasain timu mbili, anataka kupiga mpunga mrefu
 
Kweli mpole mana hata akitiwa madole ananyamaza na kuchekelea tu
Huwa nafikiria sana kwanini unaitwa severine na kuna pahala nilishakwambia hilo ni jina la kike naona unapuuza.

Severine sio Alex kwamba mwanamke nae anaweza kuitwa hivyo severine ni jina la kike nimesoma nao wawili kwa nyakati tofauti na ninawafahamu wengine kama watatu wanaishi mtaani huku
 
Ndiyo ufahamu kuwa hapo unazungumza na Kimada
 
Back
Top Bottom