John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ashtakiwa

John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ashtakiwa

Inasekana Trump alimwomba Rais wa China anunue bidhaa za wakulima toka Marekani ili ajipatie ujiko kwa wakulima aweze kuchaguliwa kwa awamu ya pili...Kitendo kinachotafsiriwa kwamba ni kuomba kusaidiwa kushinda Uchaguzi.
kumbe trump naye anategemea kura za wakulima teh teh
 
DT anaogopa sanduku la kura kama tu kule akikosema ni 'shithole' ...
Inaonekana media zinampa chapuo JB.
US anything can happen any time!
 
Duu bora jukwaa hili maana lile jukwaa la jamii intelligence limejaa stori za vijiwe vya kahawa mtu anakwambi mwaka 2045 hii dunia itahama na kwenda mbinguni
😃😃😃
 
Yaani katika sehemu ambayo hua sipendi kuitabiria kaka uchaguzi wa US sababu hautabiriki mpaka yakishatoka matokeo

Yaani lolote linaweza tokea kiukweli tuupe tu muda nafasi yake

Ila napenda DT ashinde sio kama namuelewa ila kwasababu simuelewi[emoji23][emoji23][emoji23]
its because raisi wao huwa hachaguliwi hivi hivi, kuamini eti trump alipata uraisi kwa bahati mbaya ni matumizi mabaya ya akili.......

hebu jiulize, kama kweli democrats wanataka kushinda uchaguzi kwanini wanampa nafasi Joe Biden,? mtu ambae kiuhalisia % za kumshinda trump ni ndogo?

kwanini wasingeweka mgombea bora zaidi? mimi naamini chaguzi za US kuna majitu nyuma ya pazia ndio huamua flani atakua raisi,
 
DT anaogopa sanduku la kura kama tu kule akikosema ni 'shithole' ...
Inaonekana media zinampa chapuo JB.
US anything can happen any time!
be careful with the US media, this time wameprove kwamba wanakua na agenda zao!
 
its because raisi wao huwa hachaguliwi hivi hivi, kuamini eti trump alipata uraisi kwa bahati mbaya ni matumizi mabaya ya akili.......

hebu jiulize, kama kweli democrats wanataka kushinda uchaguzi kwanini wanampa nafasi Joe Biden,? mtu ambae kiuhalisia % za kumshinda trump ni ndogo?

kwanini wasingeweka mgombea bora zaidi? mimi naamini chaguzi za US kuna majitu nyuma ya pazia ndio huamua flani atakua raisi,
mimi naamini chaguzi za US kuna majitu nyuma ya pazia ndio huamua flani atakua raisi,

Wewe namimi hatuna tofauti juu yasuala hili MKUU.....
 
hesabu kubwa ya ushindi wa trump unategemea wale wajumbe 570
Na ninadhani wale jamaa wanauelewa mkubwa sana na hawatafuata majungu ya watu wengine. ila wao wataangalia trump ameifanyia nini marekani.
 
Sio swala la DT,Bolton alikuwa mshauri wa usalama wa Rais,means alikuwa na security clearance daraja la kwanza..Na aliapa kutunza siri za serikali hata atapokuwa nje ya serikali...Sasa kama hicho kitabu kinaenda tofauti na kiapo chake,we unafikiri ni sawa aruhusiwe tu kutoa??..
Halafu hujaambiwa kila kitu ujifunze marekani,unaweza chukua yanayokufaa kulingana na mazingira uliyopo,mengine ukapiga chini...
Iam sure hata TZ huruhusuwi kuchapisha kitabu chenge siri za serikali,ringht??>.
Kwa hiyo wewe unaitolea Tanzania mfano kabisa?
 
DT anaogopa sanduku la kura kama tu kule akikosema ni 'shithole' ...
Inaonekana media zinampa chapuo JB.
US anything can happen any time!

Hii ni kwasababu DT anaziandama sana media.
 
Back
Top Bottom