John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ashtakiwa

Inasekana Trump alimwomba Rais wa China anunue bidhaa za wakulima toka Marekani ili ajipatie ujiko kwa wakulima aweze kuchaguliwa kwa awamu ya pili...Kitendo kinachotafsiriwa kwamba ni kuomba kusaidiwa kushinda Uchaguzi.
kumbe trump naye anategemea kura za wakulima teh teh
 
DT anaogopa sanduku la kura kama tu kule akikosema ni 'shithole' ...
Inaonekana media zinampa chapuo JB.
US anything can happen any time!
 
Duu bora jukwaa hili maana lile jukwaa la jamii intelligence limejaa stori za vijiwe vya kahawa mtu anakwambi mwaka 2045 hii dunia itahama na kwenda mbinguni
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Republicans wamemuuliza alikuwa wapi
 
its because raisi wao huwa hachaguliwi hivi hivi, kuamini eti trump alipata uraisi kwa bahati mbaya ni matumizi mabaya ya akili.......


hebu jiulize, kama kweli democrats wanataka kushinda uchaguzi kwanini wanampa nafasi Joe Biden,? mtu ambae kiuhalisia % za kumshinda trump ni ndogo?


kwanini wasingeweka mgombea bora zaidi? mimi naamini chaguzi za US kuna majitu nyuma ya pazia ndio huamua flani atakua raisi,
 
DT anaogopa sanduku la kura kama tu kule akikosema ni 'shithole' ...
Inaonekana media zinampa chapuo JB.
US anything can happen any time!
be careful with the US media, this time wameprove kwamba wanakua na agenda zao!
 
mimi naamini chaguzi za US kuna majitu nyuma ya pazia ndio huamua flani atakua raisi,

Wewe namimi hatuna tofauti juu yasuala hili MKUU.....
 
hesabu kubwa ya ushindi wa trump unategemea wale wajumbe 570
Na ninadhani wale jamaa wanauelewa mkubwa sana na hawatafuata majungu ya watu wengine. ila wao wataangalia trump ameifanyia nini marekani.
 
Kwa hiyo wewe unaitolea Tanzania mfano kabisa?
 
DT anaogopa sanduku la kura kama tu kule akikosema ni 'shithole' ...
Inaonekana media zinampa chapuo JB.
US anything can happen any time!


Hii ni kwasababu DT anaziandama sana media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…