John cena is no more!!

Status
Not open for further replies.
Hivi mieleka wanaigiza? Ama n kweli? Km wanaigiza mbona kuna watazamaj weng na wenye kuwa na hamasa? Mwongozo tafadhali...
<br />
<br />
mbona michezo ya kuigiza na movies mnaangalia.
 
MMH JAMANI WE KUF AU KUTOKUFA KWAKE KUNAKUFAIDISHA?????
sometimes ukikaa kimya inaleta maana zaidi?
feki kama kama ahadi za ccm mbona haushabikii ife
unamshabikia john cena wa watu afe
sema wana ccm wote tufe!!!!!!!!!!!!!!!! alaaaa

Afe tu kwanza mchezo wenyewe anaocheza ni 'fake' kama nini sijui.
 
MMH JAMANI WE KUF AU KUTOKUFA KWAKE KUNAKUFAIDISHA?????
sometimes ukikaa kimya inaleta maana zaidi?
feki kama kama ahadi za ccm mbona haushabikii ife
unamshabikia john cena wa watu afe
sema wana ccm wote tufe!!!!!!!!!!!!!!!! alaaaa
Una hasira na nji hii.
 
This is not a breaking news! Cena is alive, na hizi huwa ni trick za media kufake watu na kuuza sana biashara zao, ashazushiwa siku za hivi karibuni, willy smith the same, but its sthing unhold any element of truth!

John is there, the champ of wwe, msiwe mnapost vitu vyenu vya ajabu kuhuzunisha watu kwa uzushi na kukurupka kwenu!
 
Kama mieleka wanaigiza nafasi iko wazi fuata taratibu zao nawe kaigize
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…