mankind
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 233
- 86

Hivi mieleka wanaigiza? Ama n kweli? Km wanaigiza mbona kuna watazamaj weng na wenye kuwa na hamasa? Mwongozo tafadhali...

mbona michezo ya kuigiza na movies mnaangalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hivi mieleka wanaigiza? Ama n kweli? Km wanaigiza mbona kuna watazamaj weng na wenye kuwa na hamasa? Mwongozo tafadhali...
Afe tu kwanza mchezo wenyewe anaocheza ni 'fake' kama nini sijui.
Una hasira na nji hii.MMH JAMANI WE KUF AU KUTOKUFA KWAKE KUNAKUFAIDISHA?????
sometimes ukikaa kimya inaleta maana zaidi?
feki kama kama ahadi za ccm mbona haushabikii ife
unamshabikia john cena wa watu afe
sema wana ccm wote tufe!!!!!!!!!!!!!!!! alaaaa

mbona michezo ya kuigiza na movies mnaangalia.