Uchaguzi 2020 John Heche aimalizia CCM kata ya Nyamongo

Too late ! Tumewadhibiti kila kona
Sijui chama changu kimejipangaje kuhakikisha kila kituo kinakuwa na wakala wetu? Nimemegewa na mpenzi wangu ambaye ni mgombea ubunge kwa ma-ccm anasema mbinu wanayopanga ni kuwazuia mawakala wa CHADEMA kuingia kwenye vituo vya kupigia kura! Alikuwaga vitu maalum sasa hivi anatafuta jimbo, tujipange!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…