PreGE2025 John Heche ameelezea tukio la wao kukamatwa na polisi

PreGE2025 John Heche ameelezea tukio la wao kukamatwa na polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hana mpya anakuja kurudia yaleyale ya kila siku
Kitendo cha Samia kuendelea kuua raia siyo kipya kwa kuwa anafurahia harufu ya damu lakini bado tutaendelea kimsema mpaka atakapozikwa!
 
No Reforms No Election. Hadi chura kiziwi masikio yake yazibuke.
Mungu atayazibua ikiwa ni hoja ya watanzania wote, lakini kama ni ya chadema tu na ajenda zao za udini, kama zinavyopiganiwa na maaskofu majukwaani na kwenye nyumba za Ibadan, Mungu hatoyazibua kamwe......mashetwaaani makubwa nyie!!
 
Waache maneno, huu ni wakati muafaka kwao wa kuongea kwa vitendo.
Actions speak louder than words.

Sometimes kulipa Kisasi ni HAKI.

Biblia Takatifu,

Kutoka 21 : 14, 23 - 25.
"Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumuua kwa jeuri, hata Kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na KUMUUA.
Lakini Kama yatakuwepo madhara mengine, basi lazima amlipe uhai kwa uhai, jino kwa jino, jicho kwa jicho, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo."
Nakuunga mkono,lazima Chadema wabadili kauli,ukondoo ufike mwisho,nahisi kama amani ya Tanzania Chadema ndio wanaitunza tena kwa gharama kubwa sana za damu za wanachama
 
25 April 2025

🅻🅸🆅🅴 : JOHN HECHE MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA ANAFUNGUKA YALIYOWAKUTA....​



View: https://m.youtube.com/watch?v=R7XKhHM8iJg
Makamu Mwenyekiti John Heche, viongozi wa ngazi mbalimbali ndani ya CHADEMA ambao wahanga ni waliotekwa na polisi, wasimulia yote yaliyofanywa wakiwa mikononi mwa jeshi la Polisi ....

Tulitupwa na kutelekezwa kwenye mbuga ya wanyama ya Pande iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani ... wengine tulitupwa maeneo ya Ununio vichaka vikubwa vilivyopo nje ya jiji la Dar es Salaam ...
 
Ila shule ni muhimu sana jamani!
Anayewasababishia polisi maisha magumu kuanzia makazi duni mshahara mdogo yoote ni hako kakikundi kadogo ka watawala ila kwavile ni wajinga hawaoni...wanapambana na chadema ambao kimsingi ndiye anayepambana maisha yao yastawi!
Wamekuwa vibaraka wa kuwalinda watawala badala ya ku side upande wa umma.
Sio ajabu wengi wao ni form 4 failures!!.
 
Mungu atayazibua ikiwa ni hoja ya watanzania wote, lakini kama ni ya chadema tu na ajenda zao za udini, kama zinavyopiganiwa na maaskofu majukwaani na kwenye nyumba za Ibadan, Mungu hatoyazibua kamwe......mashetwaaani makubwa nyie!!
Kweli na wewe masikio yameziba. Hoja za REFORMS ni kwa manufaa ya Chadema au watanzania wote wapenda haki??
 
Back
Top Bottom