Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), ameshiriki mazishi ya Mama Robahi Samson yaliyofanyika leo tarehe 3 Februari 2026 katika Kata ya Sirari, Kijiji cha Buriba Sirari wilayani Tarime Mkoa wa Mara.
Marehemu ni mama mzazi wa kada wa CCM, Sinda Geteba, aliyetekwa.
Sindar Ghiteba, ambaye alikuwa mtia nia wa udiwani Kata ya Sirari kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi wa 2025, alitoweka katika mazingira ya kutatanisha. Familia imeeleza kuwa kifo cha mama yake kimechochewa na msongo wa mawazo na kuugua kwa muda mrefu tangu kupotea kwa mwanawe.