John Heche ashiriki mazishi ya Mama Robahi Samson, akemea utekaji na mauaji yanaendelea

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), ameshiriki mazishi ya Mama Robahi Samson yaliyofanyika leo tarehe 3 Februari 2026 katika Kata ya Sirari, Kijiji cha Buriba Sirari wilayani Tarime Mkoa wa Mara.
Marehemu ni mama mzazi wa kada wa CCM, Sinda Geteba, aliyetekwa.

Sindar Ghiteba, ambaye alikuwa mtia nia wa udiwani Kata ya Sirari kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi wa 2025, alitoweka katika mazingira ya kutatanisha. Familia imeeleza kuwa kifo cha mama yake kimechochewa na msongo wa mawazo na kuugua kwa muda mrefu tangu kupotea kwa mwanawe.

Your browser is not able to display this video.
 
Watanzania tunapendana, na wala tulikuwa hatufikiria mambo ya vyama au dini iwe kigezo katika kushirikiana, lakini shetani CCM.na viongozi wake wakuu, hawataki watanzania wanaopendana, wanataka watanzania wawe kwenye utengano ili kusiwepo na nguvu kubwa dhidi yao, wanapofanya uovu dhidi ya yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…