John Heche asimamia semina elekezi Karatu, ukumbi wazidiwa na umati

Amina
 
Reactions: BAK
Binafsi tu naomba siro na vijana wake watulie, waachie wanasiasa watifuane wenyewe, wao walinde usalama Wa RAIA na Mali zao basi.
 
Kwa hiyo picha za 2015 ndio mmeona mtaji wa propaganda za kitoto?
labda kama ni mjinga , lakini ungekuwa na akili hata za kuvukia barabara ungeng'amua kwamba hiyo nguo aliyovaa Heche 2015 haikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…