DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo majira ya saa 6 mchana.Hadi sasa, taarifa rasmi hazijaeleza agenda au kilichokusudiwa kuzungumzwa katika mkutano huo, na hivyo kuacha nafasi kwa wadau wa siasa na waandishi wa habari kusubiri kwa hamu kupata maelezo kutoka kwa Heche mwenyewe.
Mkutano huu unakuja kipindi ambacho kuna mijadala mbalimbali katika medani ya siasa nchini, lakini bado haijathibitishwa kama hotuba yake itahusiana na matukio hayo au la.
Mkutano huu unakuja kipindi ambacho kuna mijadala mbalimbali katika medani ya siasa nchini, lakini bado haijathibitishwa kama hotuba yake itahusiana na matukio hayo au la.