John Heche atikisa Sirali

John Heche atikisa Sirali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mkutano wa Mh @hechejohn  Mbunge wa Tarime Vijiji Ukiwa unaendelea Mají mdogo wa ( 750 X 750 ).jpg

CCM na vyombo vya dola CHADEMA na Nguvu ya Umma
 
Natamani CCM wachukue hilo jimbo. CDM hawana lolote bali kulalamika na kutafuta huruma kwa wananchi.
 
Ni kweli watakuwa wamesombwa na maloli kutoka nchi jirani.
 
Hii kitu ya kuwazuia upinzani miaka 4 wasifanye mikutano ndiyo inawapa mzuka wa nguvu wananchi. Yaani wananchi wana kiu kubwa sana ya kuwasikia hawa magalacha wa upinzani. Kwanza wanataka kujua nini wanachokijua kuhusu Serikali ya Awamu ya 5 ambacho Magufuli anakiogopa.

Pili wana sumpathise sana kwa jinsi Awamu ya 5 ilivyowatesa, kwa hiyo kila mkutano watafunga nyomi sana.

Aliyemshauri Magufuli kusimamisha shughuli za vyama vya siasa hadi uchaguzi alikosea sana. Kama alifanya mwenyewe basi ALIKURIPUKA
 
Tunakushukuru sana kwa kuona mbali
 
Back
Top Bottom