John Heche atikisa Sirali

Natamani CCM wachukue hilo jimbo. CDM hawana lolote bali kulalamika na kutafuta huruma kwa wananchi.
 
Natamani CCM wachukue hilo jimbo. CDM hawana lolote bali kulalamika na kutafuta huruma kwa wananchi.
Ni kweli watakuwa wamesombwa na maloli kutoka nchi jirani.
 
labda kama umelogwa
Unataka nikwambie chadema inachukua ili ufurahi?haya chadema wanachukua sijui upumbazu huu mtaacha lini nyie yeyote mwenye mawazo tofauti na nyie nia adui. Sijawahi kuona watu wajinga kama nyie.
 
Hii kitu ya kuwazuia upinzani miaka 4 wasifanye mikutano ndiyo inawapa mzuka wa nguvu wananchi. Yaani wananchi wana kiu kubwa sana ya kuwasikia hawa magalacha wa upinzani. Kwanza wanataka kujua nini wanachokijua kuhusu Serikali ya Awamu ya 5 ambacho Magufuli anakiogopa.

Pili wana sumpathise sana kwa jinsi Awamu ya 5 ilivyowatesa, kwa hiyo kila mkutano watafunga nyomi sana.

Aliyemshauri Magufuli kusimamisha shughuli za vyama vya siasa hadi uchaguzi alikosea sana. Kama alifanya mwenyewe basi ALIKURIPUKA
 
Tunakushukuru sana kwa kuona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…