PreGE2025 POTOSHI John Heche avunja ukimya: Akubali kujiunga na uchaguzi, asema “No Reforms” haina maana tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Wewe ni Mjinga
 
Hii hata hata sifa ya kuisumbua JamiiCheck. Ilitakiwa inyofolewe tu na wewe ulimwe ban.
 
Amesema yuko tayari kushiriki uchaguzi ujao, akisisitiza kuwa ni muhimu kujipanga ndani ya mfumo uliopo ili kuleta mabadiliko ya kweli.
Kwahiyo NRNE ilikuwa mbinu ya kuwatema wale wa CHAUMMA
 
Mkuu japo October tuna tick.... lakini hiki ulicholeta sio mahojiano kamili😀. Umetegeshea kijikipande unachokipenda ndio unatuwekea sisi... hutufai kwenye chama chetu cha kijani
 
Safi sana
 
Kwani CCM hamuwezi kufanya uchaguzi wenu bila Chadema mpaka muwashwe hivi?
 
STUPID MODIFIED CLIP, RUBBISH! NAWE ULIYELETA NI MPUUZI..... HII IMEKATWA MAKUSUDI

SIKILIZA HII NILIYOWEKA KATIAK INTERVIEW HIYO HIYO PUMBAVU ZAKO
 

Attachments

  • HECHE 2.mp4
    19.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…