Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Tutakilinda kwa wivu mkubwa😏Dah! Hiki chama kitapita salama kweli kwenye huu uchaguzi wao wa safari hii!!! Maana hii minyukano siyo poa hata kidogo.
Wenje tapeli wa kisiasa, anatanguliza tumbo mbele , anafikili ataishi milele, ujinga tuMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.
Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika ukumbi wa Nyakahoja, Mwanza, Heche amesema kwamba "tumefika hapa tulipo kwa sababu yake (Wenje)"
View attachment 3193019
Hao ndio deals makers, na wakiendezwa hao watu wataharibu nchiHuyu Ezekia wenje na Abdul ni akina nani hao. Mbona mnatuchanganya sana jamani..🤔 Kwann mambo yanaongelewa kimafumbo mafumbo,.. Mara tena Mama Abdul Wooiiii..
Unaongea kama Mbowe vile😎Tutakilinda kwa wivu mkubwa😏
Haya ni mambo ya CHADEMA lakini nashangaa jinsi ambavyo mijitu ya CCM inavyoshobokea mambo yasiyowahusuMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.
Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika ukumbi wa Nyakahoja, Mwanza, Heche amesema kwamba "tumefika hapa tulipo kwa sababu yake (Wenje)" huku akikemea vikali suala la rushwa ndani na nje ya chama cha CHADEMA.
Sasa si yako wazi?😁Haya ni mambo ya CHADEMA lakini nashangaa jinsi ambavyo mijitu ya CCM inavyoshobokea mambo yasiyowahusu
Lazima amshambulie Kwa sababu ni mshindani wake.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.
Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika ukumbi wa Nyakahoja, Mwanza, Heche amesema kwamba "tumefika hapa tulipo kwa sababu yake (Wenje)" huku akikemea vikali suala la rushwa ndani na nje ya chama cha CHADEMA.
NAKUBALIANA NA WEWE 100%Chadema inaenda kuwa imara sana baada ya uchaguzi wao wa ndani na hili litawezekana tu iwapo Ccm watashindwa kumpitisha Mbowe kwa utaratibu wanaotumia katika chaguzi za nchi hii. Maana wao wanatamani sana Mbowe aendelee kukiongoza Chadema na yeye pamoja na kufanya mazuri na kukiimarisha chama mpaka leo kinaonekana hivi ni kama ameshafika bei ya Ccm.
Nilitamani sana Mbowe aachie chama kwa heshima na si kwa kushindwa kama inavyoenda kutokea maana naamini Chadema watatumia mfumo wao wa kula Ccm kura kwa Chadema na awamu hii itakuwa kula kwa Mbowe na Wenje na kura kwa Lissu na Heche.
Wajumbe na wanaohusika na upigaji kura wasiogope kula pesa za Mbowe kwani zinatoka Ccm ila wakipiganie chama ambacho watu wamekipigania mpaka kwa damu zao kwa kuwapa kura Lissu na Heche na hapo kwa mara ya kwanza utabiri wa sheikh Yahaya alioutabili mwaka 2011 utakapotimia. Siukumbuki vizuri lakini ni kama alitabiri baada ya JK kumaliza mhula wake atakuja rais mchapakazi sana ila mchekeshaji japo hatakaa kwa muda mrefu baada yake ataongoza mwanamke na baada ya mwanamke ndipo upinzani utachukua nchi.
Naamini hata usalama wa taifa walio wazalendo hawaridhishwi na uongozi wa Ccm ulipofikia hasa kwa jinsi viongozi wa Ccm walivyojipa jukumu ya kutapanya na kuzigawa rasilimali za taifa kienyeji kwa wageni, kwa mara ya kwanza hao watu wakipita kwenye Chadema uchaguzi mkuu ujao utakuwa na mvuto wa aina yake na ikiwa hivyo nitatamani Ccm wawe na fomu moja ya urais ili mazeri apigwe za chembe ifikapo saa nne siku ya uchaguzi watu wawe wamemaliza kazi.
🤣🤣🤣Haya ni mambo ya CHADEMA lakini nashangaa jinsi ambavyo mijitu ya CCM inavyoshobokea mambo yasiyowahusu
FisadiAyatollah kaguta nkurunzia 🤣🤣🤣🤣Maji ya shingo kwa Kaguta FreemanView attachment 3193042
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.