kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Wenje tulimpa ubunge nyamagana haukuna chochote alichofanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Possibly. You are correct mzee mzima.Yah tight. Wenje ndiye aliyriingiza Chadema ndani ya 18 za Abdul na Msma yake. Wenje aliona sifa sana kufahamiana na Mwana wa Malkia ... gakujua madhara yske. TISS walimchomekea. Inaelekea wanajua weakness yake.
Acha haki impige shetaniDah! Hiki chama kitapita salama kweli kwenye huu uchaguzi wao wa safari hii!!! Maana hii minyukano siyo poa hata kidogo.
Kweli kabisa mkuu. Nakubaliana nawe 💯 %Chadema inaenda kuwa imara sana baada ya uchaguzi wao wa ndani na hili litawezekana tu iwapo Ccm watashindwa kumpitisha Mbowe kwa utaratibu wanaotumia katika chaguzi za nchi hii. Maana wao wanatamani sana Mbowe aendelee kukiongoza Chadema na yeye pamoja na kufanya mazuri na kukiimarisha chama mpaka leo kinaonekana hivi ni kama ameshafika bei ya Ccm.
Nilitamani sana Mbowe aachie chama kwa heshima na si kwa kushindwa kama inavyoenda kutokea maana naamini Chadema watatumia mfumo wao wa kula Ccm kura kwa Chadema na awamu hii itakuwa kula kwa Mbowe na Wenje na kura kwa Lissu na Heche.
Wajumbe na wanaohusika na upigaji kura wasiogope kula pesa za Mbowe kwani zinatoka Ccm ila wakipiganie chama ambacho watu wamekipigania mpaka kwa damu zao kwa kuwapa kura Lissu na Heche na hapo kwa mara ya kwanza utabiri wa sheikh Yahaya alioutabili mwaka 2011 utakapotimia. Siukumbuki vizuri lakini ni kama alitabiri baada ya JK kumaliza mhula wake atakuja rais mchapakazi sana ila mchekeshaji japo hatakaa kwa muda mrefu baada yake ataongoza mwanamke na baada ya mwanamke ndipo upinzani utachukua nchi.
Naamini hata usalama wa taifa walio wazalendo hawaridhishwi na uongozi wa Ccm ulipofikia hasa kwa jinsi viongozi wa Ccm walivyojipa jukumu ya kutapanya na kuzigawa rasilimali za taifa kienyeji kwa wageni, kwa mara ya kwanza hao watu wakipita kwenye Chadema uchaguzi mkuu ujao utakuwa na mvuto wa aina yake na ikiwa hivyo nitatamani Ccm wawe na fomu moja ya urais ili mazeri apigwe za chembe ifikapo saa nne siku ya uchaguzi watu wawe wamemaliza kazi.
Kweli heche is a leader. You made My day.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.
Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika ukumbi wa Nyakahoja, Mwanza, Heche amesema kwamba "tumefika hapa tulipo kwa sababu yake (Wenje)" huku akikemea vikali suala la rushwa ndani na nje ya chama cha CHADEMA.
Nimemsikiliza vizuri Heche ni kama anampongeza wenje kuwa wamefika hapo walipo(kimafanikio) kwa ajili ya uongozi wao na si kwa mlengo wa mtoa madaMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.
Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika ukumbi wa Nyakahoja, Mwanza, Heche amesema kwamba "tumefika hapa tulipo kwa sababu yake (Wenje)" huku akikemea vikali suala la rushwa ndani na nje ya chama cha CHADEMA.
Ni bahati mbaya sana hatujuani. Ningelipinga na wewe hapa kwamba Mbowe akishindwa tuwekeane nini.Chadema inaenda kuwa imara sana baada ya uchaguzi wao wa ndani na hili litawezekana tu iwapo Ccm watashindwa kumpitisha Mbowe kwa utaratibu wanaotumia katika chaguzi za nchi hii. Maana wao wanatamani sana Mbowe aendelee kukiongoza Chadema na yeye pamoja na kufanya mazuri na kukiimarisha chama mpaka leo kinaonekana hivi ni kama ameshafika bei ya Ccm.
Nilitamani sana Mbowe aachie chama kwa heshima na si kwa kushindwa kama inavyoenda kutokea maana naamini Chadema watatumia mfumo wao wa kula Ccm kura kwa Chadema na awamu hii itakuwa kula kwa Mbowe na Wenje na kura kwa Lissu na Heche.
Wajumbe na wanaohusika na upigaji kura wasiogope kula pesa za Mbowe kwani zinatoka Ccm ila wakipiganie chama ambacho watu wamekipigania mpaka kwa damu zao kwa kuwapa kura Lissu na Heche na hapo kwa mara ya kwanza utabiri wa sheikh Yahaya alioutabili mwaka 2011 utakapotimia. Siukumbuki vizuri lakini ni kama alitabiri baada ya JK kumaliza mhula wake atakuja rais mchapakazi sana ila mchekeshaji japo hatakaa kwa muda mrefu baada yake ataongoza mwanamke na baada ya mwanamke ndipo upinzani utachukua nchi.
Naamini hata usalama wa taifa walio wazalendo hawaridhishwi na uongozi wa Ccm ulipofikia hasa kwa jinsi viongozi wa Ccm walivyojipa jukumu ya kutapanya na kuzigawa rasilimali za taifa kienyeji kwa wageni, kwa mara ya kwanza hao watu wakipita kwenye Chadema uchaguzi mkuu ujao utakuwa na mvuto wa aina yake na ikiwa hivyo nitatamani Ccm wawe na fomu moja ya urais ili mazeri apigwe za chembe ifikapo saa nne siku ya uchaguzi watu wawe wamemaliza kazi.
Mbowe anapigwa asubuhi na mapema hata kama atasaidiwa na Ccm japo najua mlungula utatembea sana tu kwa wapiga kura.Ni bahati mbaya sana hatujuani. Ningelipinga na wewe hapa kwamba Mbowe akishindwa tuwekeane nini.
Dhahabu nzuri ni ile iliyopita tanuru na moto mkali.Dah! Hiki chama kitapita salama kweli kwenye huu uchaguzi wao wa safari hii!!! Maana hii minyukano siyo poa hata kidogo.
Umemena vyema mkuu.Nilitamani sana Mbowe aachie chama kwa heshima na si kwa kushindwa kama inavyoenda kutokea maana naamini Chadema watatumia mfumo wao wa kula Ccm kura kwa Chadema na awamu hii itakuwa kula kwa Mbowe na Wenje na kura kwa Lissu na Heche.
CCM haihusiki na hatuhusiki. Mwaka 2014 Chadema ilipoondoa ukomo wa Mwenyekiti CCM ilihusika? Ushindwe kutunza familia yako umlaumu jirani? PUMBAVU!!Mbowe anapigwa asubuhi na mapema hata kama atasaidiwa na Ccm japo najua mlungula utatembea sana tu kwa wapiga kura.
kumbe Wenje is powerful and feared politician within chadema circle like that, aise!🐒Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.
Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika ukumbi wa Nyakahoja, Mwanza, Heche amesema kwamba "tumefika hapa tulipo kwa sababu yake (Wenje)" huku akikemea vikali suala la rushwa ndani na nje ya chama cha CHADEMA.
Ningekuwa ndo mahauri wa chadema ya Lissu, ningeshauri kama wameamua Lissu awe chair basi wangetafuta mtu calm kidogo Kwa nafasi ya makamu Ili kubalance mambo na ingefaa zaidi angetoka kaskazini Kwasababu tusipuuze pia kwamba CDM inaweza kuwa na sapoti kubwa zaidi Toka Kanda hiyo. Kama wakipungukia watu watulivu na wenye akili siyo aibu ku- recruit hata Toka Chama kingine. Hebu assume Tundu chair, Heche makamu na labda Lema katibu mkuu (ni mchanganyiko mbovu sana). Anyway ni kazi ya wenye Chama kuamua wanavyotaka.kumbe Wenje is powerful and feared politician within chadema circle like that, aise!🐒
Wangemshawishi Japhary Michael kuchukua fomu ya umakamu mwenyekiti ingekuwa balanced sana.Ningekuwa ndo mahauri wa chadema ya Lissu, ningeshauri kama wameamua Lissu awe chair basi wangetafuta mtu calm kidogo Kwa nafasi ya makamu Ili kubalance mambo na ingefaa zaidi angetoka kaskazini Kwasababu tusipuuze pia kwamba CDM inaweza kuwa na sapoti kubwa zaidi Toka Kanda hiyo. Kama wakipungukia watu watulivu na wenye akili siyo aibu ku- recruit hata Toka Chama kingine. Hebu assume Tundu chair, Heche makamu na labda Lema katibu mkuu (ni mchanganyiko mbovu sana). Anyway ni kazi ya wenye Chama kuamua wanavyotaka.
Mjomba wewe endelea kulia tu kama ilivo avatar yakoHaya ni mambo ya CHADEMA lakini nashangaa jinsi ambavyo mijitu ya CCM inavyoshobokea mambo yasiyowahusu