John Heche: CHADEMA tumefika hapa tulipo (kwenye mtanziko) kwa sababu ya Wenje

Wenje tulimpa ubunge nyamagana haukuna chochote alichofanya
 
huyu apewe umwenyekiti, mbowe awe makamu
 
Kweli kabisa mkuu. Nakubaliana nawe 💯 %
 
Kweli heche is a leader. You made My day.
 
Nimemsikiliza vizuri Heche ni kama anampongeza wenje kuwa wamefika hapo walipo(kimafanikio) kwa ajili ya uongozi wao na si kwa mlengo wa mtoa mada
 
Hachani ujinga wa kusombwa na propaganda za kawaida hizo tuhuma za rushwa hazina ushahidi
 
Ni bahati mbaya sana hatujuani. Ningelipinga na wewe hapa kwamba Mbowe akishindwa tuwekeane nini.
 
Ni bahati mbaya sana hatujuani. Ningelipinga na wewe hapa kwamba Mbowe akishindwa tuwekeane nini.
Mbowe anapigwa asubuhi na mapema hata kama atasaidiwa na Ccm japo najua mlungula utatembea sana tu kwa wapiga kura.
 
Dah! Hiki chama kitapita salama kweli kwenye huu uchaguzi wao wa safari hii!!! Maana hii minyukano siyo poa hata kidogo.
Dhahabu nzuri ni ile iliyopita tanuru na moto mkali.
Baada ya tarehe 21/01/25 chama kitakwenda kusimama kwenye nafasi yake.
 
Nilitamani sana Mbowe aachie chama kwa heshima na si kwa kushindwa kama inavyoenda kutokea maana naamini Chadema watatumia mfumo wao wa kula Ccm kura kwa Chadema na awamu hii itakuwa kula kwa Mbowe na Wenje na kura kwa Lissu na Heche.
Umemena vyema mkuu.
Sijui imekuwaje Mbowe na washauri wake wameshindwa kusoma alama za nyakati.

Mbowe aambiwe kuwa ni kweli anaheshimika ila muda wake wa kuongoza chama kama Mwenyekiti umekwisha. Asijiingize kwenye mtego wa kuitumikia ccm kinyemela kama mwenzie Lipumba
 
Mbowe anapigwa asubuhi na mapema hata kama atasaidiwa na Ccm japo najua mlungula utatembea sana tu kwa wapiga kura.
CCM haihusiki na hatuhusiki. Mwaka 2014 Chadema ilipoondoa ukomo wa Mwenyekiti CCM ilihusika? Ushindwe kutunza familia yako umlaumu jirani? PUMBAVU!!
 
kumbe Wenje is powerful and feared politician within chadema circle like that, aise!🐒
 
kumbe Wenje is powerful and feared politician within chadema circle like that, aise!🐒
Ningekuwa ndo mahauri wa chadema ya Lissu, ningeshauri kama wameamua Lissu awe chair basi wangetafuta mtu calm kidogo Kwa nafasi ya makamu Ili kubalance mambo na ingefaa zaidi angetoka kaskazini Kwasababu tusipuuze pia kwamba CDM inaweza kuwa na sapoti kubwa zaidi Toka Kanda hiyo. Kama wakipungukia watu watulivu na wenye akili siyo aibu ku- recruit hata Toka Chama kingine. Hebu assume Tundu chair, Heche makamu na labda Lema katibu mkuu (ni mchanganyiko mbovu sana). Anyway ni kazi ya wenye Chama kuamua wanavyotaka.
 
Wangemshawishi Japhary Michael kuchukua fomu ya umakamu mwenyekiti ingekuwa balanced sana.

Tatizo lililopo ngome ya Lissu inakosa political Maturity kitu kile kile kilichoitesa awamu ya tano kuendesha nchi kitoto na kuumiza kila aliyembele yao hata Lissu na kundi lake wanahulka hiyo.
 
Haya ni mambo ya CHADEMA lakini nashangaa jinsi ambavyo mijitu ya CCM inavyoshobokea mambo yasiyowahusu
Mjomba wewe endelea kulia tu kama ilivo avatar yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…