mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,517
- 6,074
Serikali ya Samia Suluhu iko vitani dhidi ya chama chetu.
Walimkamata Mwenyekiti na kumpa kesi ya uongo.
Walifungua kesi ya uongo kutumia viongozi wa zamani kutoka Zanzibar.
Sasa msajili ambae yeye ndio anaandika barua ya kutushitaki alafu yeye anatoa huku kwenye barua yake.
Hana mamlaka hayo kikatiba na kisheria yote anayofanya ni batili
Chama chetu kitashinda vita hizi zote.
Watanzania na wanaCHADEMA msiogope, wanaogopa chama chetu kwasababu yenu kwasababu mnakipenda na kukiamini chama hiki. Endeleeni kutuamini tuko imara hakuna kurudi nyuma.