Pamoja saanaSerikali ya @SuluhuSamia iko vitani dhidi ya chama chetu.
Walimkamata Mwenyekiti na kumpa kesi ya uongo.
Walifungua kesi ya uongo kutumia viongozi wa zamani kutoka Zanzibar.
Sasa msajili ambae yeye ndio anaandika barua ya kutushitaki alafu yeye anatoa huku kwenye barua yake.
Hana mamlaka hayo kikatiba na kisheria yote anayofanya ni batili
Chama chetu kitashinda vita hizi zote.
Watanzania na wanachadema msiogope, wanaogopa chama chetu kwasababu yenu kwasababu mnakipenda na kukiamini chama hiki. Endeleeni kutuamini tuko imara hakuna kurudi nyuma.
Ni kijana mdogo, lakini ana busara kuliko wazee wa CCM karibu wote!
Tupo nanyi .Serikali ya Samia Suluhu iko vitani dhidi ya chama chetu.
Walimkamata Mwenyekiti na kumpa kesi ya uongo.
Walifungua kesi ya uongo kutumia viongozi wa zamani kutoka Zanzibar.
Sasa msajili ambae yeye ndio anaandika barua ya kutushitaki alafu yeye anatoa huku kwenye barua yake.
Hana mamlaka hayo kikatiba na kisheria yote anayofanya ni batili
Chama chetu kitashinda vita hizi zote.
Watanzania na wanaCHADEMA msiogope, wanaogopa chama chetu kwasababu yenu kwasababu mnakipenda na kukiamini chama hiki. Endeleeni kutuamini tuko imara hakuna kurudi nyuma.
Hii ndo shida ilipo!!Nawahurumia akina heche wanahangaika na watu wasiojitambua kabisa. Kuna clip za mashabiki wa simba wakiwashambulia mashabiki wa Yanga kule Zanzibar Amani stadium kwa hasira sana. Zile hasira wangewekeza kwenye kupaza sauti hoja za msingi au kuitoa ccm madarakani tungekua mbali sana ila vijana wa hovyo wapo tayari kushambulia wenzao vibaya kisa ushabiki wa mpira so sad