John Heche Chawa wa Tundu Lissu amebakia kichwa tu

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe?

Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
 
Wasira huyu huyu alieshindwa ubunge na pisi kali akaenda kutia huruma mahakamani au kuna mwingine 🤔Hizo habari za kidunia zina faida gani kwa wananchi wa Tanzania 🤔Wasira ni debe tupu tuu hana lolote la maana useless kabisa na ndio maana hawana habari nae🚮🚮
 
We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe?

Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
Bado mnalipwa buku 7 na haya maisha yalivyopanda?
 
Wasira na Kitila ni chawa wanatumika na ccm kuwahadaa watanzania wajinga eti DPWORLD italeta faida 🤣 wakati mkataba ni WA mangungo
 
We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe?

Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
Wasira apambane na Esta Bulaya aliyempiga ubunge uko Bunda kabla hajatupiana maneno na wanaume
 
We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe?

Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
Kama Ningekua Wassira, aisee ningekataa uteuzi.

Wassira anaenda kuzalilishwa sanaaa.

Hivi Wassira ni wakujibu...Et kama wanataka kujua akili yangu ni mzuri, waulize Madaktari wa Indià na Muhimbili ambao walisema Nina akili nzuri🤣🤣🤣🤣

Kmmke walahiii
 
CHADEMA wanavurugwa sana na Wasira, mama kawapata kwa kweli
 
Mzee wetu kama angepumzika kwenye SIASA hivi au aache kusema sema..asome kwanza mchezo na kuongea kwa VITUO..

Kwa hali ya sasa ya Kisiasa, Kijamii na KIUCHUMI Tanzania, huwezibeza harakati za kupata KATIBA MPYA..Inashangaza
 
We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe?

Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.

Wasira ni kama watoto ambao hawaja komaa akili kubiashana na mzee ambaye sio mzima sio hekima
 
We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe?

Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
Heche ni chawa na mganga njaa tu kama chawa wengine. Ila kwa kujiunga na Lissu very soon atarudi kujiunga na mkewe kwenye kazi ya ualimu aliyesomea!
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe?

Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
Wassira awekwa makumbusho ya taifa
 
Ktk siasa ulitaka asemaje..amsifie Wassira? Anaweza akajua uwezo wake lkn asiseme ukweli
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
Huyo Mzee nae ndio katuachia virusi vinavyolitafuna taifa hili, katiba ya kikoloni, CCM na mwenge!
 
Ina maana CCM hawakuona mtu mwingine tofauti na wasira,au ccm haina vijana

Mzee atafia jukwaani yule ohooo
 
Huyu mzee haki tena atakuja kupigana siku moja hana moyo mgumu.
 
Back
Top Bottom