Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Fvck CCM"Huko mbele tutatoa msimamo msimamo mgumu zaidi kuhusu no reforms no Election" John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
View attachment 3406716
Hahaha mlisema mnakinukisha ndio mvumilie hapo bado kupigwa miaka 5 jela ndio mjue kukinukishaFvck CCM
Kwani nyinyi ibirisi mashetani wa ccm mnaogopa nini si mna majeshi na bunduki? Subiria muone ndipo mngefungua kesi, sasa mmebambika kesi pasipo ushahidi mmekalia kupiga Danadana za kijingaHahaha mlisema mnakinukisha ndio mvumilie hapo bado kupigwa miaka 5 jela ndio mjue kukinukisha
USSR
ikibidi ni kuwafungulia kesi kwenye mahakama ya uhalifu ya kimataifa The Hague"Huko mbele tutatoa msimamo msimamo mgumu zaidi kuhusu no reforms no Election" John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
View attachment 3406716
Kinachofanyika kwa Braza K ni upendeleo mkubwa. Tuna ndugu zetu wana miaka mitano hata kesi tu kutajwa bado. Inasikitish sana. Tuache double standard."Huko mbele tutatoa msimamo msimamo mgumu zaidi kuhusu no reforms no Election" John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
View attachment 3406716
Uonevu kwa chadema ni fursa ya chawaccm kupiga pesaKinachofanyika kwa Braza K ni upendeleo mkubwa. Tuna ndugu zetu wana miaka mitano hata kesi tu kutajwa bado. Inasikitish sana. Tuache double standard.
Baada zile risasi ulizotumwa kumuua unaomba msaada wa miaka mitano jera. Hahahaaaaa pole sana mnuka damu za watu.Hahaha mlisema mnakinukisha ndio mvumilie hapo bado kupigwa miaka 5 jela ndio mjue kukinukisha
USSR
Anatenda KISHETANIUkisikia Samia ni mtu hatari sana fuatilia hii kesi ya Lissu.
Yataisha msihofu Wana wa MUNGU muda si mrefu."Huko mbele tutatoa msimamo msimamo mgumu zaidi kuhusu no reforms no Election" John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
View attachment 3406716