PostGE2025 John Heche: Hauwezi kufanya uhalifu kisha ukajichunguza mwenyewe, kufunika jambo hili na Uongo haitawezekana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
1000508261.jpg

Ameandika Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche;

Huwezi kufanya uhalifu alafu ukajichunguza wewe mwenyewe… Uchunguzi wa Kimataifa kutoka chombo huru ndio unaweza kuaminika na Watanzania.

Tunataka kujua wakina nani wamehusika, kuua , kuteka na kuacha Watanzania na ulemavu wa kudumu.

Hili sio jambo la kujaribu kufunikwa na uongo haitawezekana.
 
View attachment 3502030

Tragedy of Tanzania’s 98% vote​

By Gitobu Imanyara
 
View attachment 3502030
Ameandika Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche;

Huwezi kufanya uhalifu alafu ukajichunguza wewe mwenyewe… Uchunguzi wa Kimataifa kutoka chombo huru ndio unaweza kuaminika na Watanzania.

Tunataka kujua wakina nani wamehusika, kuua , kuteka na kuacha Watanzania na ulemavu wa kudumu.

Hili sio jambo la kujaribu kufunikwa na uongo haitawezekana.
Na huo ndo ukweli wenyewe. CCM hawana mamlaka ya kuunda tume kwa ujunga wao wenyewe lazima wachunguzwe
 
View attachment 3502030
Ameandika Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche;

Huwezi kufanya uhalifu alafu ukajichunguza wewe mwenyewe… Uchunguzi wa Kimataifa kutoka chombo huru ndio unaweza kuaminika na Watanzania.

Tunataka kujua wakina nani wamehusika, kuua , kuteka na kuacha Watanzania na ulemavu wa kudumu.

Hili sio jambo la kujaribu kufunikwa na uongo haitawezekana.
"You can't be a judge in your own case" ccm acheni upuuzi mkubaliane na mabadiliko hamwezi kuazuia its too late.
 
Back
Top Bottom