Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwaipopo na Yona watatoa milio huko walikoMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo yaondoke kwake.
Heche amese
Majibu yaliyojaa mashiko na logics za kutosha. 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo yaondoke kwake.
Heche amesema kuwa yeye si anayeshikilia funguo za gereza, si aliyefungua kesi dhidi ya Lissu, wala si aliyemkamata Njombe, huku akisema pia hahusiki na kuleta mawakili wa serikali au kutoa maagizo kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).
Kwa mujibu wa Heche, anayenufaika kisiasa na kesi hiyo ni Rais Samia pamoja na Serikali ya CCM, akidai kuwa Rais Samia ndiye mshindani mkuu wa kisiasa wa Lissu na mwenye mamlaka ya kuhakikisha Lissu anakuwa nje au anaendelea kubaki kizuizini.
📌Majibu yaliyojaa mashiko na logics za kutosha. 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼
Hiyo ndio solutionKuna sehemu watu wanapakomalia ila maelezo hayajitoshelezi hasa manufaa binafsi ya heche kupitia kesi ya lisu
Mmmh! Hapo ni kweli kama kweli Heche ni mnufaika na wanaopiga kelele ni ccm, serikali hii iliyompachika Lissu kesi na wale madalali wa kisiasa. Basi ili wamalize fitina wamuachie Lissu ili Heche asijinufaishe.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo yaondoke kwake.
Heche amesema kuwa yeye si anayeshikilia funguo za gereza, si aliyefungua kesi dhidi ya Lissu, wala si aliyemkamata Njombe, huku akisema pia hahusiki na kuleta mawakili wa serikali au kutoa maagizo kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).
Kwa mujibu wa Heche, anayenufaika kisiasa na kesi hiyo ni Rais Samia pamoja na Serikali ya CCM, akidai kuwa Rais Samia ndiye mshindani mkuu wa kisiasa wa Lissu na mwenye mamlaka ya kuhakikisha Lissu anakuwa nje au anaendelea kubaki kizuizini. Hayo ameyasema wakati akifanya mahojiano kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV, Agosti 10, 2026