Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kesi ya madai ilipaswa kutupiliwa mbali kabisa haikupaswa hata kusajiliwa, tukiipa jina sahihi ni takataka ililenga watu kushindwa kufanya wajibu wao
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche ameyasema hayo leo katika kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi Fm
Soma Pia: Heche: Tumesikitishwa sana na Jaji Mwanga amefanya mambo mabaya dhidi ya chama chetu na demokrasia ya nchi yetu