Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Apr 15, 2026 #1 Kesi ya madai ilipaswa kutupiliwa mbali kabisa haikupaswa hata kusajiliwa, tukiipa jina sahihi ni takataka ililenga watu kushindwa kufanya wajibu wao Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche ameyasema hayo leo katika kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi Fm Soma Pia: Heche: Tumesikitishwa sana na Jaji Mwanga amefanya mambo mabaya dhidi ya chama chetu na demokrasia ya nchi yetu Your browser is not able to display this video.
Kesi ya madai ilipaswa kutupiliwa mbali kabisa haikupaswa hata kusajiliwa, tukiipa jina sahihi ni takataka ililenga watu kushindwa kufanya wajibu wao Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche ameyasema hayo leo katika kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi Fm Soma Pia: Heche: Tumesikitishwa sana na Jaji Mwanga amefanya mambo mabaya dhidi ya chama chetu na demokrasia ya nchi yetu Your browser is not able to display this video.