Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wewe hujajifunza 2019, 2020 na 2024? Unataka wakagombee huku wakiwa na matumaini tu ya kupata chochote? Watu wameuwawa na kuumizwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, unategemea ninj kwenye uchaguzi mkuu? Wawape viti vya ubunge mkawasumbue bungeni?Kikatiba mbunge anatakiwa awe mwanachama wa siasa. Wabunge 19 wamefukuzwa na chama chao kwa hiyo kupoteza sifa za kuwa wabunge. Mwezi wa 6 wanamaliza ngwe yao kama wawakilishi wa chama chao wanaotambuliwa na Bunge.
Matamko kama haya ndio yanaonyesha kuwa hamna Plan B. Kwa kusema aliyosema ni kuwa wanaamini kuwa ukarabati wa Katiba na taratibu za uchaguzi utafanyika kabla ya Bunge kuvunjwa. Hawako serious.
Amandla...
Ambao hamjajifunza ni nyie. Mnataka kushindana kwenye sprints wakati mashindano ni ya marathon.Wewe hujajifunza 2019, 2020 na 2024? Unataka wakagombee huku wakiwa na matumaini tu ya kupata chochote? Watu wameuwawa na kuumizwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, unategemea ninj kwenye uchaguzi mkuu? Wawape viti vya ubunge mkawasumbue bungeni?
Kwanini upoteze nguvu huku unajua 100% uchaguzi unaenda kuibwa?Ambao hamjajifunza ni nyie. Mnataka kushindana kwenye sprints wakati mashindano ni ya marathon.
Hivi mnataka kutuaminisha kuwa hayo mnayohofia yanatokea wakati wa uchaguzi tu? Na kuwa mkizuia uchaguzi ndio hayatawapata?
Amandla...
Kwa mtazamo huo hautaweza kujikomboa.Kwanini upoteze nguvu huku unajua 100% uchaguzi unaenda kuibwa?
Nadhani viongozi wa CHADEMA wangeacha kuongelea habari za uchaguzi maana wameshakataa hawatoshiriki na kanuni hawakusaini.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, anasema chama hicho bado kina nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na kwamba kutosaini kanuni za maadili hakuwaondoi kikatiba kushiriki uchaguzi, kwani hakuna muda wa mwisho wa kusaini — wanaweza kufanya hivyo siku yoyote watakayotaka.
Aidha, Heche amesisitiza kuwa msimamo wa CHADEMA mpaka sasa ni "NO REFORMS NO ELECTION".
Sikilizeni... Muhimu kuliko yote ni kusimamia ukweli!Kikatiba mbunge anatakiwa awe mwanachama wa siasa. Wabunge 19 wamefukuzwa na chama chao kwa hiyo kupoteza sifa za kuwa wabunge. Mwezi wa 6 wanamaliza ngwe yao kama wawakilishi wa chama chao wanaotambuliwa na Bunge.
Matamko kama haya ndio yanaonyesha kuwa hamna Plan B. Kwa kusema aliyosema ni kuwa wanaamini kuwa ukarabati wa Katiba na taratibu za uchaguzi utafanyika kabla ya Bunge kuvunjwa. Hawako serious.
Amandla...