Pre GE2025 John Heche kuchukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Godbless Lema amesema kwamba John Heche kakubali kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara. Heche bado hajaongea chochote.
 
heche anaenda CCM mbona ipo wazi.

uzuri anaenda CCM anapewa jimbo halafu CCM mfia chama anapiga miayo tu
 
Daaaa jamaa wale wanatia pesa tuuu ngoja tuone kula kwa kengeza...kulala....kuleee
 
Daaaa jamaa wale wanatia pesa tuuu ngoja tuone kula kwa kengeza...kulala....kuleee
Natamani kuona makamanda wakaitumia akili zao badala ya magwanda yao.
 
Tupate viongozi wasio wachagga walau chadema iwe na sura ya kitaifa

Katibu mkuu awe Muislamu tena Mwanamke 🐼
Swali ni je, mmachame ataachia??

Kumbuka ni chama chake (kama alivyosema mwenyewe kuwa ameweka fedha nyingi sana ktk hicho chama).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…