Pre GE2025 John Heche kuchukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mapinduzi matukufu ya kuondoa Usultan CHADEMA. Lissu, Heche & Lema kwenye nafasi zao wataipa 2025 maana halisi.
 
Combination ya lissu na heche kali balaa, mboga moto ugali motoo...ma ccm yatakoma!.
Mbowe na dalali mwenzie wenje wakae kushoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…