Tetesi: John Heche kumrithi Freeman Mbowe Uenyekiti CHADEMA

Wampe ana ujasiri wa kusimamia chama mtu kama msigwa umpe chama anakiuza saa 4 asubuhi. CCM oyeeeee
 
Siku Jabari akisema anapumzika Siasa kwa muda, CCM watapumua.
 
Heche kwa asilimia 100% anafaa ila mbowe bado kijana aendelee kumnoa 2030 amuachie
 
Mbona kama Chama kinashuka sana
Kinashuka wakati wakitishia kuandaman tu, nchi inasimama viunga vyote wanajaa majangu na silaha za kivita, yote hayo huwa ya nini sasa.
 
Heche sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…