Tetesi: John Heche kumrithi Freeman Mbowe Uenyekiti CHADEMA

Inawezekana mh chairman amekuwa akitengeneza ukubwa wake na ustahiki wake kwenye chama chake ndio mana inakuwa ngumu kwayeye kukaa pembeni au inaonekana kama yeye ndio anae wamudu watawala waliopo, imefikia mahali ndani ya chama pengine hakuna anayeaminika au kujiamini kuchukua mikoba ya uenyekiti..wengi wanahofia chama kitakosa nguvu ya upinzani....ushauri wangu watawala washamzoea Mr chairman, nae pia kesharidhika kuwa chairman maana bila ivyo atakuwa nani kwenye jamii hii? Mstaafu?? Hapana hainogi ndo mana anapenda aendelee kuchair!! Ni kazi kwenu wanachama kuamua aendelee au mbadirishe sasa naamini wapo wenye uchungu na chama pia wenye kuleta utisho wa kisera na kiitikadi na kuamsha molari ya wananchi kujiunga zaidi
 
Siku ile wakati namuona mashinji anaingia pale lumumba na shati la mbogamboga nilijiuliza mambo mengi sana. Jaribu kufikiria kama mwenyekiti asingekuwa MBOWE Enzi za Magufuli leo chadema kingekuwa wapi?
 
Sasa Heche kaahidiwa mangapi?
 
Siku ile wakati namuona mashinji anaingia pale lumumba na shati la mbogamboga nilijiuliza mambo mengi sana. Jaribu kufikiria kama mwenyekiti asingekuwa MBOWE Enzi za Magufuli leo chadema kingekuwa wapi?
Kwa hiyo Mbowe hataka aachie nafasi ya uwenyekiti?
 
Tayari mna Mwenyekiti wa mioyo na hamsambazi?
 
Attachments

  • LISSU2.jpg
    574.1 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…