John Heche: Kuweni Makini Polisi wanapokuja Nyumbani kwenu

Wewe mwenyewe hujionei huruma? Kilangila.
 
Huwezi kuwaonea huruma chadema kwasabb hata wewe huna raha.
 
Kamanda Siro na jeshi lake ndiyo wanafanya kazi ya itikadi na uenezi wa CCM.

Shaka A. Shaka anafanya kazi ya kuwabagaza na kuwajibu wale wote wanaotofautiana kimtazamo na Maushungi.

Maushungi ni nani ?
 
Kwa Nini tufanyiane mabaya wakati dunia sio yetu?maana mwisho wa siku tunakufa tunaiacha
 
Kamanda Siro na jeshi lake ndiyo wanafanya kazi ya itikadi na uenezi wa CCM.

Shaka A. Shaka anafanya kazi ya kuwabagaza na kuwajibu wale wote wanaotofautiana kimtazamo na Maushungi.
CCM kama chama cha siasa ilishajifia siku nyingi sasa hivi CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Reactions: G4N
CCM kama chama cha siasa ilishajifia siku nyingi sasa hivi CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
hata ungekuwa wewe, Ni ujinga kuacha kutumia Dola. Siasa Ni kwa ajili ya kuwadhoofisha wapinzan wako. Hii ndo maana nzima ya siasa
 
Mbowe na wenzake Jinsi walivyomtetea Lowassa. Maana yake hata wao wangekuwa watawala wangetetea Mafisadi wao na kuwasafisha, wangetumia hata Dola kufunika ukweli.
Wameshaprove hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…